Jiunge Na Green World Ununue Virutubishi Bila Masharti – Hakuna Kuuza!

 

Makao makuu ya green World, michigan

 

Green World ni kampuni inayozalisha bidhaa za virutubishi vya mwili vinavyotokana na mimea na vitu vingine vya asili. Kampuni hii yenye makao yake makuu Michigan nchini Marekani, ilianzishwa mwaka 1993 na hadi leo ina bidhaa zaidi ya 150, bidhaa ambazo zimethibishwa na FDA (Food and Drugs Administration) ya Marekani na TFDA ya hapa kwetu Tanzania. Hadi sasa kampuni imesambaa katika nchi zaidi ya 90 duniani.

Kiutendaji, utafiti hufanywa kwenye vyuo vikuu 8 huko Marekani na bidhaa kujaribiwa kwenye kliniki kubwa za huko Marekani, kabla ya uzalishaji kuanza kwenye viwanda vikubwa viwili vya Nanjing na Tianjin huko China.

Barani Afrika, Green World iliingia mwaka 2007 nchini Afrika Ya Kusini na kusambaa hadi kwenye nchi 32 hadi sasa. Hapa kwetu Tanzania, Green World  ilifungua ofisi yake mwaka 2011.

Jiunge na Green World kwa kujaza fomu ya kujiunga na Green world.

Bidhaa Za Green World

Bidhaa za Green World zimetengenezwa na kugawanywa katika makundi makuu matatu:

Bidhaa za Kusafisha Mwili (Cleansing and detoxification.) Kundi hili linajumuisha virutubishi vinavyofanya kazi ya kuondoa kemikali na vitu vingine ambavyo havitakiwi na mwili vilivyoingia ndani ya mwili wako kupitia kuvuta hewa chafu, kunywa maji yasiyo salama, kula chakula kilichooteshwa na kukuzwa kwa mbolea za kemikali, chakula chenye madawa ya kuulia wadudu na kuondoa madhara ya mionzi katika mwili.

 

 

Bidhaa Za Virutubishi Vya Kiada (Supplementation). Hizi ni bidhaa zinazosaidia kuziba mapengo yaliyoachwa na chakula tulacho ambacho hakijitoshelezi. Chakula tunachokula kina upungufu mkubwa wa virutubishi muhimu kwa mwili, ikiwa ni pamoja na madini, vitamini na mafuta. Magonjwa mengi hutokea kutokana na ukosefu huu wa virutubishi muhimu.

 

 

Bidhaa Za Uponyaji (Functional.) Kundi hili linajumuisha bidhaa ambazo huusaidia mwili kufanya kazi yake kama inavyotakiwa na kuondoa dosari ambazo tayari zimekwishajitokeza.

 

 

 

 

Vifurushi (Packages) Vya Kampuni Ya  Green World

Kifurushi cha Green World ni mkusanyiko wa bidhaa zilizoandaliwa ili kuweka sawa au kuondoa matatizo ya kiafya kutoka kwenye eneo la mwili au mfumo wa kiutendaji katika mwili. Kampuni ya Green World ina vifurushi vifuatavyo:

1. Kifurushi cha  afya ya mifupa na maungio ya mifupa

2. Kifurushi cha kupunguza unene na uzito wa mwili

3. Kifurushi cha afya ya mwanamke – matatizo kabla ya hedhi, matatizo kwenye maziwa, kupungukiwa damu, matatizo baada ya kukoma hedhi na ugumba

4. Kifurushi cha afya ya ubongo

5. Kifurushi cha afya ya mwanamme – jogoo kushindwa kuwika, kuwahi kufika kileleni na matatizo ya tezi dume

6.  Kifurushi cha afya ya macho

7. Kifurushi cha afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula – Gastroesophageal Reflex  Disease (GERD), vidonda vya tumbo, kuziba choo (constipation) na matatizo ya ini

8.  Kifurushi cha kutoa sumu mwilini (detoxification)

9. Kifurushi cha afya ya kinga za mwili (body immunity)

10. Kifurushi cha afya ya moyo

11. Kifurushi cha kujilinda na kujitibu saratani

 

Kusoma vifurushi vinavyotolewa na Green world, bofya HAPA.

Unahitaji Kununua  Virutubishi Vya Green World?

Unaweza kupata virutubishi vya Green World kutoka duka lo lote la Green World lililopo karibu na eneo unaloishi. Mjini Dar Es Salaam unaweza kuvipata kutoka duka la kampuni lililopo ndani ya majengo ya Machinga Complex eneo la Karume, wilaya yya Ilala.

Katika maduka haya, mhitaji utauziwa kwa bei ya rejareja iliyopangwa na kampuni.

Lakini unaweza kuwa mhitaji wa kudumu au  kuhitaji bidhaa kwa wingi, na ili uweze kupata punguzo kubwa la bei, kampuni imeweka mpango wa kukuwezesha kujiunga na kampuni na kupata bidhaa unazozihitaji kwa bei ya punguzo. Namna ya kujiunga na faida nyingine utakazozipata ni kama inavyoelezwa hapa chini.

Namna Ya Kujiunga Na Green World

Ni rahisi sana kujiunga na kuwa mwanachama wa kampuni ya Green World. Unatakiwa utoe Tshs 35,000/= tu kwenye ofisi yo yote ya Green World iliyo karibu nawe.

Utapewa kadi ya uanachama, kitabu kikubwa chenye taarifa za kampuni, virutubishi na mpango wa malipo wa kampuni. Kadi yetu ni ya kimataifa (International,) kwa maana kwamba, po pote duniani penye ofisi ya Green World, utapewa huduma kwa kuionyesha kadi yako. Utahudhuria mikutano na mafunzo yote ya Green World ukipenda, po pote ulimwenguni, bure!

Wewe utaitwa mwanachama mlaji. Hutowajibika kufanya lo lote. Hakuna malipo tena ya aina yo yote ile. Utaendelea kunufaika na huduma ya Green World ya kuuziwa virutubishi unavyovihitaji kwa bei ya punguzo, wakati wo wote utakapovihitaji.

Jiunge sasa kwa kujaza fomu ya kujiunga na Green World.

Faida Za Kujiunga Na Green World

1. Utapewa mafunzo ya afya na virutubishi, bure!
2. Utanunua virutubishi vya Green World kwa bei ya uanachama, bei ambayo ina punguzo la asilimia 20 kutoka bei ya rejareja.
3. Utanunua virutubishi vya chaguo lako na idadi unayotaka wewe, wakati wote.
4. Utaweka vizuri afya yako, ya ndugu zako na marafiki zako.
5. Utajiponya kutokana na magonjwa sugu uliyo nayo.
6. Utajenga marafiki wapya na kutapanua wigo wa watu unaofahamiana nao.
7. Baadaye utapata bonasi itakayotokana na manunuzi yako ya mwezi
8. Kwa vile utafiti wa kina unafanyika kabla ya uzalishaji, virutubishi hivi vinaleta matokeo makubwa na vitakidhi haja zako.

Unaishi nje ya jiji la Dar Es Salaam? Usihofu, ofisi ina utaratibu mzuri wa kukutumia bidhaa kwa bus hadi mji unamoishi, utatakiwa tu kulipia gharama za usafiri ambazo kwa kawaida huwa ni  ndogo, kati ya 5,000/= na  isiyozidi 10,000/=.

Je, umeona faida za kujiunga na Green World?

Ungana nasi sasa kwa kujaza fomu ya kujiunga na Green World.

Kama umependa kuungana na kampuni hii na bado uana maswali, wasiliana na ofisi ya Green World iliyo karibu au nipigie kwa namba zifuatazo:  0655 858027 na 0756 181651.