Namna Ya Kujiunga Na Green World

 

 

Kwanza tukupe pongezi nyingi kwa kuchagua kujiunga na Green World. Kwa hakika hakuna uamuzi bora kuushinda huu. Kampuni imekubali ombi lako la kuungana nasi na kwa mikono miwili tunasema;  KARIBU SANA GREEN WORLD.

 

Kama unahitaji kuwa mwanachama mlaji (mwanachama wa kununua bidhaa tu kwa ajili ya matumizi yako binafsi), endelea kuusoma kusoma ukurasa tofauti kwa kubofya  <HAPA>

 

Ada ya kujiunga ni Tshs 35,000.00 ambayo unaweza kuja nayo ofisini au ukatuma kwa Mpesa au Tigo Pesa kwa namba za hapo chini. Kwa kiasi hicho kidogo cha pesa utapata:

 

. Kitambulisho ambacho ni cha kimataifa

.  Kitabu chenye taarifa zote muhimu za bidhaa na mpango wa malipo wa kampuni

.  Fursa ya kupata mafunzo bure kupitia simu, mikutano ya ZOOM au tovuti 

.  Tovuti binafsi ya kufuatilia manunuzi yako na maendeleo ya biashara yako

. Fursa ya kununua bidhaa yo yote, muda wo wote kwa bei ya punguzo la asilimia 20

 

Mimi binafsi nitachukua jukumu la kukushika mkono kwenye njia yako ya mafanikio hadi utakapokuwa umejua nini cha kufanya.

 

Ofisi zetu zipo Karume, ndani ya majengo ya Machinga Complex.

 

Kwa mawasiliano piga: 0655 858027 au 0756 181651.

 

Usisite kuuliza swali lo lote, muda wo wote. Ni faraja kwetu kuona kuwa tumekujibu vizuri na kwa wakati mwafaka.

 

N.B. Ukifika onana na ndugu Laurian Mwajombe. Mimi ndiye nitakayekusimamia kwenye hatua zako za awali hadi utakapokuwa umeanza kujiendesha mwenyewe kibiashara.

 

Unaweza kufika ofisini kwetu siku yo yote kati ya jumatatu na jumamosi – saa 3.00 hadi saa 12 jioni na Jumapili kuanzia saa 6.00 hadi saa 12 jioni.

 

 

 

 

 

 

 

Ndg. Laurian Mwajombe                                                                                                                GREEN WORLD 7 STAR CONSULTANT