Recognition Meeting October 2024

Sherehe fupi iliyofana ilifanyika katika ukumbi wa mafunzo wa kampuni ya Green World, yenye ofisi zake ndani ya jengo la Machinga Complex. Ilala, Dae Es Salaam siku ya Jumamosi tarehe 2 Novemba 2024.

Maudhui ya sherehe hiyo yalikuwa ni kuwapongeza wanachama waliopanda daraja katika mwezi wa kibiashara wa Oktoba 2024. Wanachama watatu walipanda madaraja.

Zainabu Sindila (DSM)  daraja na kuwa 6*Consultant

Peter Mdadili (DSM) alipanda na kuwa 5*Consulatant

Nashon Sebai (GAIRO) alipanda daraja na kuwa 5*Consultant

NASHON SEBAI
PETER MDADILA
ZAINAB SINDILA

Green World Summit, Nanjing; October 2024

Green World company tunaendelea na sherehe za kutimiza miaka 30 toka kampuni ilipoanza. Sherehe hizo zinafanyika Nanjing, China, mji ambako kiwanda chetu cha pili cha nchini China kilijengwa mnamo 2016.

Sherehe zilianza rasmi tarehe 17 Oktoba 2024.

Hapa chini ni clip inayowaonyesha viongozi wa juu wa kampuni yetu  – Green World Diamond Club members – wakiwa kwenye summit siku ya kwanza kabisa ya sherehe.

Mstari wa mbele kuanzia kushoto ni:

Frances Ngozi – Honorary Chairman wa kwanza wa kampuni ya Green World. Yeye alijiunga na Green World 2007 na ni mwanachama kutoka Nigeria.

Neronence Moyo – 3* Director, kutoka Pretoria

Lucy Miano – 3* Director , Kutoka Nairobi -Kenya

Tendai Chinoperekwei  – 2*Director, kutoka Harare, Zimbabwe

na wengineo.

VIDEO FUPI IKIWAONYESHA GREEN WORLD DIAMOND CLUB MEMBERS WAKIWA KWENYE SUMMIT MJINI NANJING