Green World company tunaendelea na sherehe za kutimiza miaka 30 toka kampuni ilipoanza. Sherehe hizo zinafanyika Nanjing, China, mji ambako kiwanda chetu cha pili cha nchini China kilijengwa mnamo 2016.
Sherehe zilianza rasmi tarehe 17 Oktoba 2024.
Hapa chini ni clip inayowaonyesha viongozi wa juu wa kampuni yetu – Green World Diamond Club members – wakiwa kwenye summit siku ya kwanza kabisa ya sherehe.
Mstari wa mbele kuanzia kushoto ni:
Frances Ngozi – Honorary Chairman wa kwanza wa kampuni ya Green World. Yeye alijiunga na Green World 2007 na ni mwanachama kutoka Nigeria.
Neronence Moyo – 3* Director, kutoka Pretoria
Lucy Miano – 3* Director , Kutoka Nairobi -Kenya
Tendai Chinoperekwei – 2*Director, kutoka Harare, Zimbabwe
na wengineo.