Jinsi Ya Kuwa Mwanachama Mlaji Wa Green World

 

group photo green world

Kwanza tukupe pongezi nyingi kwa kuchagua kuungana nasi ili uboreshe afya yako na ya ndugu zako kupitia bidhaa za  Green World. Kwa hakika hakuna uamuzi ulio bora kuushinda huu na hasa ukizingatia kuwa hakuna linalowezekana kama afya yako ina matatizo. Kuungana nasi ni ishara tosha kuwa unajali maendeleo yako, ya familia yako na ya jamii yako.

Kampuni imekubali ombi lako la kuungana nasi na kuwa mwanachama mlaji (consumer member) na  kwa mikono miwili tunasema; “Karibu Sana Green World.”

Ada ya uanachama ni Tshs 35,000.00 ambayo unaweza kuja nayo ofisini au ukatuma kwa Mpesa au Tigo Pesa kwa namba za hapo chini. Kwa kiasi hicho kidogo cha pesa utapata:

. Kitambulisho ambacho ni cha kimataifa

.  Kitabu chenye taarifa zote muhimu za bidhaa na mpango wa malipo wa kampuni

.  Fursa ya kupata mafunzo bure

.  Tovuti za kujipatia mafunzo zaidi

. Fursa ya kununua bidhaa yo yote, muda wo wote, kwa bei ya punguzo la asilimia 20.

Tunasisitiza tena, ukiwa mwanachama mlaji (c0nsumer member), hutabughudhiwa kwa lo lote. Utanunua unachokitaka, siku uliyopanga wewe, kwa idadi unayoihitaji kwa pungizo la asilimia 20%. Faida nyingine kwako ni kwamba, baada ya muda utaendelea kupata bonasi ambayo ni asilimia ishirini ya manunuzi yako ya mwezi. Bonasi hiyo ukipenda, utaichukua cash.

Ofisi zetu zipo eneo la Karume, ndani ya majengo ya Machinga Complex.

Kwa mawasiliano piga: 0655 858027 au 0756 181651.

Usisite kuuliza swali lo lote, muda wo wote. Ni faraja kwetu kuona kuwa tumekujibu vizuri na kwa wakati mwafaka.

N.B. Ukifika onana na ndugu Laurian Mwajombe. Mimi ndiye nitakayekupa maelezo yote na ya kina utakayoyahitaji kuhusu shughuli za kampuni hii na faida nyingine utakazozipata ukiwa mwanachama mlaji, kwa mfano, bonasi kutokana na manunuzi yako, n.k.

Unaweza kufika  kwenye ofisi zetu siku yo yote kati ya jumatatu na jumamosi – saa 3.00 hadi saa 1.00 usiku na Jumapili saa 6.00 hadi saa 1.00 usiku.